mwanadsm(tagged in)

musa hussein

Ramadhani kareem,,,,

Ramadhani kareem,,,, - 3 years ago

15 Likes
0 Comments
6
Je,unafahamu kuwa Tanzania kuna nyotamkia(vimondo)vingi vilivyoanguka na havifahamiki sana zaidi ya kile cha ndolezi-mbozi mkoani mbeya na malampaka-shinyanga!? Nyotamkia(kimondo) cha kwanza tz kuanguka ni kile cha litowa peramiho-songea mkoani ruvuma mwaka 1899
Malampaka-shinyanga mwaka 1930
Ivuna-mbozi-mbeya 1938
Lichinga-mtwara 1949 na hiki sasa cha ndolezi-mbozi mkoa wa mbeya kilianguka mwaka 1940!

Ni moja ya vivutio adimu vya utalii vinavyoshangaza watu wengi kwenye ulimwengu huu,sifa kubwa ya kimondo hiki ni kwamba kina uzito wa tank 12 pia ni cha 8 duniani kati ya nyotamkia(vimondo) 600 zilizoanguka toka angani!

Sifa nyingine kubwa pia kiwe tofauti na vingine ni kina madini aina 5 tofauti kwenye kimondo hiki;1,madini ya Chuma asilimia 90.45;2,madini ya nikel asilimia 8.66;3,madini ya shaba asilimia 0.69;4,madini ya sulfa asilimia 0.11;5,madini ya fosiforasi asilimia 0.11!

Pia kivutio kikubwa cha ajabu kwenye nyotamkia(kimondo) hiki yaani ndani yake kuna maji ambayo ataukichota VP hayakauki wala kupungua,yapo vile vile kama ulivyoyakuta!I LOVE TANZANIA.

Je,unafahamu kuwa Tanzania kuna nyotamkia(vimondo)vingi vilivyoanguka na havifahamiki sana zaidi ya kile cha ndolezi-mbozi mkoani mbeya na malampaka-shinyanga!? Nyotamkia(kimondo) cha kwanza tz kuanguka ni kile cha litowa peramiho-songea mkoani ruvuma mwaka 1899 Malampaka-shinyanga mwaka 1930 Ivuna-mbozi-mbeya 1938 Lichinga-mtwara 1949 na hiki sasa cha ndolezi-mbozi mkoa wa mbeya kilianguka mwaka 1940! Ni moja ya vivutio adimu vya utalii vinavyoshangaza watu wengi kwenye ulimwengu huu,sifa kubwa ya kimondo hiki ni kwamba kina uzito wa tank 12 pia ni cha 8 duniani kati ya nyotamkia(vimondo) 600 zilizoanguka toka angani! Sifa nyingine kubwa pia kiwe tofauti na vingine ni kina madini aina 5 tofauti kwenye kimondo hiki;1,madini ya Chuma asilimia 90.45;2,madini ya nikel asilimia 8.66;3,madini ya shaba asilimia 0.69;4,madini ya sulfa asilimia 0.11;5,madini ya fosiforasi asilimia 0.11! Pia kivutio kikubwa cha ajabu kwenye nyotamkia(kimondo) hiki yaani ndani yake kuna maji ambayo ataukichota VP hayakauki wala kupungua,yapo vile vile kama ulivyoyakuta!I LOVE TANZANIA. - 3 years ago

22 Likes
3 Comments
8
Dodoma #ChipsYai Winner  at @mateiloungedodoma

Dodoma #ChipsYai Winner at @mateiloungedodoma - 3 years ago

47 Likes
0 Comments
7
Bas sawa kama ndo hv @Regrann from @barbarahassan1 -  Neno #kilaza  lilikotokea. .. @cloudsfmtz #Regrann

Bas sawa kama ndo hv @Regrann from @barbarahassan1 - Neno #kilaza lilikotokea. .. @cloudsfmtz #Regrann - 3 years ago

5 Likes
0 Comments
7
Kwa niaba ya team madam sophey charity movement napenda kusema asanteni sana sana kwa vyombo vyote vya habari kwani support yenu ni kubwa na mmetambua mchango wangu kwa jamii tangu nimeanzisha charity work mmekuwa na mimi&lengo ni kuona kazi hii inapata support zaidi& inafika hadi mikoani kusaidia wengine wenye mahitaji maalum&kuhakikisha kila mtu anapata elimu kupitia kwangu&kuweza kujitolea kwa jamii yake.
Asanteni sana sana kwa moyo wenu wa kujitolea katika kazi hii sina cha kuwalipa ila dua njema nawaombea Mola awabariki sana katika kazi zenu&mzidi kuwa&moyo huo kwa jamii.Na tuzidi kushirikiana ili kutimiza lengo la madam sophey charity movement kuisaidia jamii yote hadi mikoani.
Kwani kupitia vyombo vya habari wengi wameona&kusikia&kuguswa na kuweza kujitolea kusaidia jamii.
asante cloudstv kwa support yenu kila kona tuko pamoja.๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
#Channel10,Cloudstv&radio,Tz Daima,Mimi&Tanzania, The Sporashow,Eatv,Tbc,Tv Tumaini,Efm radio,Globalpublishers,Itv,Mlimani tv&radio,Azam tv,Magicfm,Michuzi&Mo blog.#
Na vyombo vingine vyote hata kama sijakutaja tambua kuwa natambua&kuthamini sana mchango wako&Mungu akubariki.Ushirikiano udumu daima๐Ÿ˜™๐Ÿ˜™๐Ÿ˜™
#30mayproject#
#ugawajiwavitabumadamsopheycharitymvmnt#
#madamsopheycharitymvmnt#
#teammadamsopheycharitymovement๐Ÿ˜๐Ÿ˜#
#harakatibadozinaendelea#
@cloudstv@cloudsfmtz@mc_manyama@dinamarious @babraevakiwia@emmiealoyce_jbm@naymapembe

Kwa niaba ya team madam sophey charity movement napenda kusema asanteni sana sana kwa vyombo vyote vya habari kwani support yenu ni kubwa na mmetambua mchango wangu kwa jamii tangu nimeanzisha charity work mmekuwa na mimi&lengo ni kuona kazi hii inapata support zaidi& inafika hadi mikoani kusaidia wengine wenye mahitaji maalum&kuhakikisha kila mtu anapata elimu kupitia kwangu&kuweza kujitolea kwa jamii yake. Asanteni sana sana kwa moyo wenu wa kujitolea katika kazi hii sina cha kuwalipa ila dua njema nawaombea Mola awabariki sana katika kazi zenu&mzidi kuwa&moyo huo kwa jamii.Na tuzidi kushirikiana ili kutimiza lengo la madam sophey charity movement kuisaidia jamii yote hadi mikoani. Kwani kupitia vyombo vya habari wengi wameona&kusikia&kuguswa na kuweza kujitolea kusaidia jamii. asante cloudstv kwa support yenu kila kona tuko pamoja. #Channel10 ,Cloudstv&radio,Tz Daima,Mimi&Tanzania, The Sporashow,Eatv,Tbc,Tv Tumaini,Efm radio,Globalpublishers,Itv,Mlimani tv&radio,Azam tv,Magicfm,Michuzi&Mo blog.# Na vyombo vingine vyote hata kama sijakutaja tambua kuwa natambua&kuthamini sana mchango wako&Mungu akubariki.Ushirikiano udumu daima๐Ÿ˜™๐Ÿ˜™๐Ÿ˜™ #30mayproject # #ugawajiwavitabumadamsopheycharitymvmnt # #madamsopheycharitymvmnt # #teammadamsopheycharitymovement # #harakatibadozinaendelea # @cloudstv @cloudsfmtz @mc_manyama @dinamarious @babraevakiwia @emmiealoyce_jbm @naymapembe - 3 years ago

116 Likes
2 Comments
20
Kupitia #AYOTV ya @millardayo imetaja video za wasanii wanaochezwa ndani ya Tanzania na nje pia. TRACE URBAN Pia Ni kituo kinachocheza Wimbo wa Video ya Msanii @Nedymusic Aliyomshirikisha Boss wake @ommydimpoz na single yao #USIENDEMBALI . Hii ni ishara nzuri kuonyesha Jinsi Tanzania na wapenzi wa mziki wa Bongo flava kwa kumpokea Kijana huyu. Kuweza kutazama Video ya wimbo huo Gusa link kwenye Bio ya @nedymusic ama @ommydimpoz #PKPEMPIRE #BUMPER2BUMPER

Kupitia #AYOTV ya @millardayo imetaja video za wasanii wanaochezwa ndani ya Tanzania na nje pia. TRACE URBAN Pia Ni kituo kinachocheza Wimbo wa Video ya Msanii @Nedymusic Aliyomshirikisha Boss wake @ommydimpoz na single yao #USIENDEMBALI . Hii ni ishara nzuri kuonyesha Jinsi Tanzania na wapenzi wa mziki wa Bongo flava kwa kumpokea Kijana huyu. Kuweza kutazama Video ya wimbo huo Gusa link kwenye Bio ya @nedymusic ama @ommydimpoz #PKPEMPIRE #BUMPER2BUMPER - 3 years ago

9 Likes
0 Comments
17
Doohh hv vtu vya mwendo kas noumaaaaa mbn vle vngne hatuvioniiiiiiiiiiiiiiioi

Doohh hv vtu vya mwendo kas noumaaaaa mbn vle vngne hatuvioniiiiiiiiiiiiiiioi - 3 years ago

9 Likes
0 Comments
10
Usiku wa #KIPEPEO dada etu @bernadetamsigwa ndani ya Mzumbe Chuo Kikuu Morogoro team @cloudsfmtz @cloudstv @millardayo @mrishompoto @kenedytheremedy @alice_kella @georgebantu @mwanadsm @captaintanzania ...Asanteni kwa Upendo na Uwepo wenu..๐Ÿ’ž

Usiku wa #KIPEPEO dada etu @bernadetamsigwa ndani ya Mzumbe Chuo Kikuu Morogoro team @cloudsfmtz @cloudstv @millardayo @mrishompoto @kenedytheremedy @alice_kella @georgebantu @mwanadsm @captaintanzania ...Asanteni kwa Upendo na Uwepo wenu.. - 3 years ago

48 Likes
0 Comments
6
Kwa products za asili za urembo wasiliana nasi 0659668056 
Hakuna kemikali....guarantee 30days kama hujapata matokeo pesa uludishwa.,,karibuni sana

Kwa products za asili za urembo wasiliana nasi 0659668056 Hakuna kemikali....guarantee 30days kama hujapata matokeo pesa uludishwa.,,karibuni sana - 3 years ago

51 Likes
1 Comments
18
Harakati zako wewe Mwanadaresalaam, pamoja na za Musa hussein zinathaminiwa sana kwetu, ndio maana tunapenda unapotembea kifua mbele na pamba kaali.. Na Iwapo ukibahatika kukutana na musa  hatosita kukuleta mpaka hapa Cutrite Designs ili upendeze zaidi kama yeye...tutasheherekea ujio wako, KARIBU...#watumishiwakokipamba #ceoz

Harakati zako wewe Mwanadaresalaam, pamoja na za Musa hussein zinathaminiwa sana kwetu, ndio maana tunapenda unapotembea kifua mbele na pamba kaali.. Na Iwapo ukibahatika kukutana na musa hatosita kukuleta mpaka hapa Cutrite Designs ili upendeze zaidi kama yeye...tutasheherekea ujio wako, KARIBU...#watumishiwakokipamba #ceoz - 3 years ago

417 Likes
3 Comments
1
Jumaa kareem

Jumaa kareem - 3 years ago

36 Likes
0 Comments
9
She is more than doctor  More than teacher  Miezi tisa tumboni kwake nimekaa kifua chake ndio ulikua mto wangu sila la zaidi ila namuombea afya njema na kipato zaidi 
#ASANTE Bimkubwa

She is more than doctor More than teacher Miezi tisa tumboni kwake nimekaa kifua chake ndio ulikua mto wangu sila la zaidi ila namuombea afya njema na kipato zaidi #ASANTE Bimkubwa - 3 years ago

19 Likes
1 Comments
4
Pata kahawa yako yenye ladha murua,ni nzuri Sana kwa watu wafuatso:
-wenye Kisukari
-wanaofanya kaz za moto MF,wapishi,wanaochomelea vyuma
-inachangamsha Mwili/kuondoa uchovu
-kuongeza nguvu kwny tendo la ndoa
Kusafisha damu n.k

Ni sugar free yenye ladha murua,pata yako popote ulipo @25,000/ tu

Piga 0753920090/0712312391

Pata kahawa yako yenye ladha murua,ni nzuri Sana kwa watu wafuatso: -wenye Kisukari -wanaofanya kaz za moto MF,wapishi,wanaochomelea vyuma -inachangamsha Mwili/kuondoa uchovu -kuongeza nguvu kwny tendo la ndoa Kusafisha damu n.k Ni sugar free yenye ladha murua,pata yako popote ulipo @25 ,000/ tu Piga 0753920090/0712312391 - 3 years ago

2 Likes
1 Comments
11
#Msingi_nilieleweka ayo mengine ya #kwakoo wewe au ya ziada tu...!!!? ๐Ÿ‘‚๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘

#Duske_dawni
#Duske_dawni

#Msingi_nilieleweka ayo mengine ya #kwakoo wewe au ya ziada tu...!!!? #Duske_dawni #Duske_dawni - 3 years ago

30 Likes
4 Comments
19
Unamkumbuka hii season

Unamkumbuka hii season - 3 years ago

11 Likes
0 Comments
6
Sonya make up,now available,buy 1 get 1 free.0787710712

Sonya make up,now available,buy 1 get 1 free.0787710712 - 3 years ago

4 Likes
0 Comments
20
HABARI, Bofya link hii http://youtu.be/SUA06QESVUY kucheck teezer NEW VIDEO(coming_soon) @dmalickofficial MAHABA NIUE (COVER) dr by @dibo_dry @BMK_PICTURES ,share2spred.

HABARI, Bofya link hii http://youtu.be/SUA06QESVUY kucheck teezer NEW VIDEO(coming_soon) @dmalickofficial MAHABA NIUE (COVER) dr by @dibo_dry @BMK_PICTURES ,share2spred. - 3 years ago

13 Likes
1 Comments
19

3 years ago

132 Likes
5 Comments
7
#MAHABA_NIUE!!

#MAHABA_NIUE !! - 3 years ago

21 Likes
4 Comments
18
Caption't

Caption't - 3 years ago

13 Likes
0 Comments
10
#kazikazi tunachora ramani na kujenga hapa #0715017277 #0683222713

#kazikazi tunachora ramani na kujenga hapa #0715017277 #0683222713 - 3 years ago

4 Likes
0 Comments
5
Load more tagged posts
2018 - © Deskgram. All rights reserved.